MAHAKAMA YAHOJI USAHIHI USIKILIZWAJI WA KESI DHIDI YA BENKI YA EQUI
Mahakama ya Rufani imeshindwa kuendelea a usikilizwaji wa shauri la rufaa lililokatwa na Benki ya Equity Bank Tanzania Limited na Equity Bank Kenya Limited dhidi ya kampuni ya mafuta ya State Oil, kutokana na kesi ya msingi kusikilizwa bila hati ya madai kufanyiwa marekebisho. Benki zilikata rufaa hiyo kupinga hukumu ya Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara […]
Read More