“KASORO” HUKUMU KESI YA EQUITY BANKI YAKWAMISHA USIKILIZWAJI RUFAA
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imeshindwa kuendelea na usikilizaji wa rufaa nyingine ya Equity Bank (T) Limited na Equity Bank (K) Limited dhidi ya kampuni mbili za Tanzania zinazobishania malipo ya mkopo wa Dola za Marekani 16,275,000 kutokana na kasoro kwenye hukumu inayikatiwa rufaa. Benki hizo zimekata rufaa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara, zikipinga […]
Read More