ZIARA YA RAIS SAMIA KOREA KULETA 6.5 TRILIONI

ZIARA YA RAIS SAMIA KOREA KULETA 6.5 TRILIONI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh. January Makamba amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya siku sita nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 kwa mwaliko rasmi wa kiongozi mkuu wa taifa hilo. Waziri Makamba ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa […]

Read More
 MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA CHA KUSHONA NGUO AKUTANA UJUMBE WA TANZANIA THAILAND

MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA CHA KUSHONA NGUO AKUTANA UJUMBE WA TANZANIA THAILAND

Wakati wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand ikiendelea, mbali na kutembelea shughuli za madini, ujumbe umepata wasaa wa kukutana na kijana wa Kitanzania Suleiman Kilonda aliyewekeza jijini Bangkok nchini humo kwa kumiliki kiwanda cha kushona na kuchapisha fulana cha Sk Export. Mbali na kumiliki kiwanda, Suleimani amefungua maduka ya kuuza nguo za aina […]

Read More
 SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili kuhifadhi mazingira.  Amesema hayo leo Juni 06, 2023 wakati wa kikao na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora Dkt. Rashid Chuachua pamoja na ujumbe wake waliomtembelea kwa Kuwasilisha taarifa ya kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu […]

Read More