MRADI KITUO CHA KUPOZA UMEME CHALINZE WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 84..3
#Asisitiza Watanzania wanataka umeme #Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo #TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme wa Msongo wa kilovoti 400/220/132/33 wa kituo cha Chalinze umefikia asilimia 84.3 na hivyo kuleta matumaini ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme. Hayo yameelezwa leo Oktoba 12, 2023 na […]
Read More