WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

📌Ushirikiano kujikita katika Sera, Sheria, Utafiti na Utaalam 📌Uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia Sasa kufika Zanzibar 📌Kushirikiana kuimarisha upatikanaji umeme Zanzibar Wizara ya Nishati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo zimesaini hati ya makubaliano itakayopelekea kuimarisha zaidi ushirikiano katika maeneo […]

Read More
 DKT BITEKO AWAAGIZA TANESCO, REA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI

DKT BITEKO AWAAGIZA TANESCO, REA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima […]

Read More
 DKT BITEKO USO KWA USO NA RAIS MUSEVEN, AMPA SALAMU

DKT BITEKO USO KWA USO NA RAIS MUSEVEN, AMPA SALAMU

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Ikulu ya Entebbe nchini humo ili kupokea salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Nchi ya Uganda. Mhe. Rais Museveni […]

Read More
 MAJALIWA: TANZANIA KUWA WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI

MAJALIWA: TANZANIA KUWA WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati. “Tunaendelea na utafutaji wa gesi, tunataka tuwe wazalishaji wakubwa wa nishati, tuwe na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada tutauza nje ya nchi.“ Mheshimiwa […]

Read More