DKT. BITEKO ACHOTA BARAKA BUKOMBE,  AKUTANA NA WAZEE NA VIONGOZI WA DINI

DKT. BITEKO ACHOTA BARAKA BUKOMBE, AKUTANA NA WAZEE NA VIONGOZI WA DINI

๐Ÿ“Œ Awashukuru kwa ushirikiano mkubwa wanaompatia ๐Ÿ“Œ Awaasa kukemea vitendo viovu katika jamii ๐Ÿ“Œ Wazee na Viongozi wa Dini wampongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali wilayani Bukombe pamoja na Wazee wa wilaya hiyo, katika mkutano uliolenga kubadilishana mawazo […]

Read More
 BUKOMBE YASIMAMA KWA MUDA, DKT AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA BITEKO AWAHUTUBIA WANANCH

BUKOMBE YASIMAMA KWA MUDA, DKT AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA BITEKO AWAHUTUBIA WANANCH

๐Ÿ“Œ *Shule mpya 30 za msingi zajengwa* ๐Ÿ“Œ *Kila Kata wilayani Bukombe sasa ina Shule ya Sekondari* ๐Ÿ“Œ *Barabara mpya zajengwa, mtandao wafikia kilometa 1400* ๐Ÿ“Œ *Bukombe sasa ina hospitali mbili, vituo vya afya sita, zahanati 18* ๐Ÿ“Œ *Apokea Wanachama wapya wa CCM, watokea CHADEMA* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge […]

Read More
 BUKOMBE KUMENOGA, KOMREDI KINANA AZINDUA OFISI MPYA ZA KISASA CCM, DKT BITEKO ASHUHUDIA

BUKOMBE KUMENOGA, KOMREDI KINANA AZINDUA OFISI MPYA ZA KISASA CCM, DKT BITEKO ASHUHUDIA

๐Ÿ“ŒAsema Bukombe imetekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo ๐Ÿ“ŒAmpongeza Dkt. Biteko kwa ubunifu ๐Ÿ“ŒAtoa Heko Umoja na Mshikamano ndani ya CCM Bukombe ๐Ÿ“ŒDkt. Biteko asisitiza umoja wa Wananchi Bukombe – Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana amezindua Ofisi za kisasa za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani […]

Read More