UVCCM TUTAENDELEA KUMLINDA RAIS WETU DKT SAMIA KWA HALI NA MALI” KAWAIDA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ameweka bayana kuwa Umoja wa Vijana wa CCM utaendelea kumlinda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Hali na Mali licha ya kuwa kuna watu wanapata homa kuona namna Rais Samia anavyotekeleza vyema Ilani ya Uchaguzi ya […]
Read MoreMWENEZI MAKONDA ATUA IVUMWE SEKONDARI MBEYA, AWEKA JIWE LA MSINGI
Katibu wa NEC itikadi,uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM) Paul Makonda ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa ya shule ya Sekondari Ivumwe jijini Mbeya. Akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe hilo Mwenezi Makonda amesisitiza kuhusu kuwalea watoto katika misingi ya maadili mema. Aidha amezitaka,zaidi shule zinazomilikuwa na jumuiya ya wazazi wa […]
Read MoreMIAKA 47 YA CCM JUMUIYA YA WAZAZI LUSHOTO YAGAWA BIMA, YAPANDA MITI
Jumuiya ya Wazazi Wilayani Lushoto Mkoani Tanga imeadhimisha kuzaliwa kwa miaka 47 ya chama Cha mapinduzi CCM kwa kupanda miti na kugawa bima za afya kwa wazee wasiojiweza. Mbali na kugawa bima za afya lakini pia Jumuiya hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ezekiel Mauya walikagua Miradi mbali mbali katika kata ya manolo ziliko fanyikia sherehe […]
Read MoreBUKOMBE KUMENOGA, KOMREDI KINANA AZINDUA OFISI MPYA ZA KISASA CCM, DKT BITEKO ASHUHUDIA
📌Asema Bukombe imetekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo 📌Ampongeza Dkt. Biteko kwa ubunifu 📌Atoa Heko Umoja na Mshikamano ndani ya CCM Bukombe 📌Dkt. Biteko asisitiza umoja wa Wananchi Bukombe – Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana amezindua Ofisi za kisasa za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani […]
Read MoreMAKONDA AWAWEKA MGUU SAWA CCM, KAMATI ZA SIASA ZAANZA KAZI, WAKAGUA MIRADI YA BARABARA DAR ES SALAAM
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Dar es salaam leo Novemba 30, 2023 imefanya ziara ya kukagua barabara zinazojengwa na kusimamiwa na TANROADS ikiwemo inayotoka Kibamba shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu wa KM 9.2 kwa gharama ya bilioni 2.7 kwa kiwango cha lami. Wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa DSM Adam Ngalawa amesema […]
Read MoreZIARA YA MAKONDA KANDA YA ZIWA, SHIBUDA AIBUKA, AFUNGUKA MAZITO, ” NAMUONA MBALI SANA HUYU KIJANA”
> _Asema Makonda amejenga uhusiano rafiki wa Kanda ya ziwa kwa kutoa Ahsante kwa uwajibikaji wa Serikali ya awamu ya 6 ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan_ > _Amejenga na kuleta wokovu wa mlango wa kutokea huzuni za ndani zilizounda ugumu wa mioyo katika kufumbua maono ya Ahsante_ Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la […]
Read MoreMAKONDA APOKELEWA NA MAMIA YA WANA-CCM, HOTUBA YAKE YAKONGA NYOYO ZA WANANCHI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)- Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda leo October 26,2023 amekabidhiwa rasmi ofisi na Dkt, Sophia Mjema ambae ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala Wanawake na Makundi Maalumu ambapo mamia ya Wanachama wa CCM walifurika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM Lumumba Dar es salaam kumpokea. […]
Read MoreWAZIRI JAFO ATAKA TAFITI MABADILIKO YA TABIA NCHI, ILI KULINDA MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo ametoa rai kwa watafiti kufanya tafiti zitakazosaidia kupata ufumbuzi wa changamoto za kimazingira hususan mabadiliko ya tabianchi. Ametoa rai hiyo wakati akizindua Programu ya Utafiti kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi kupitia Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) leo Oktoba 11, 2023 jijini […]
Read MoreDKT BITEKO AHAIDI KUTATUA CHANGAMOYO YA UMEME KWA HARAKA, RAIS MSTAAFU KIKWETE AMPONGEZA
#Chalinze imetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020- 2025 kwa mafanikio CHALINZE: Serikali imeahidi kushughulikia changamoto ya umeme iliyopo nchini kwa kasi kubwa ili tatizo hilo liweze kuisha katika kipindi kifupi kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Oktoba 11, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika Mkutano Mkuu Maalum wa […]
Read More