UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHINA, WAKUTANA NA DKT.BITEKO
CPC yaahidi kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Uchumi, Elimu na Masuala ya Kijamii Dar es salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara ya […]
Read More