DKT. BITEKO APONGEZA JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA KUSTAWISHA DEMOKRASIA NCHINI
Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa
Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi
Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. […]