BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia ameagiza kuwasilishwa kwa mkakati wa kudumu wa kudhibiti eneo hilo […]

Read More
 MAJADILIANO YA KINA: WAZIRI MKUU BUNGENI

MAJADILIANO YA KINA: WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, alishiriki vikao vya Bunge jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na mawaziri kadhaa. Miongoni mwa mazungumzo hayo, Waziri Mkuu alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stagomena Tax, ambaye ametoa hotuba na bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Mkuu pia alikutana […]

Read More
 SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU KWA MAJERUHI NA MAZISHI YA WANAFUNZI WA AJALI – BAHI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali itagharamia mazishi ya Wanafunzi wawili (2) wa shule ya sekondari  Mpalanga Wilayani Bahi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi katika Kijiji cha Chidilo  Wilayani humo. Aidha, Mhe. Senyamule ameahidi kuwa, Serikali itagharamia matibabu ya wanafunzi wote majeruhi31 walioumia katika ajali hiyo ambao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari yenye […]

Read More