WAZIRI LELA MUHAMED MUSSA KATIKA VIWANJA VYA BARAZA LA WAWAKILISHI TAYARI KUWASILISHA BAJETI WIZARA YA ELIMU

WAZIRI LELA MUHAMED MUSSA KATIKA VIWANJA VYA BARAZA LA WAWAKILISHI TAYARI KUWASILISHA BAJETI WIZARA YA ELIMU

Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa akiwasili katika viwanja vya Baraza la wawakilishi Zanzibar leo Tarehe 24,Mei 2024 Kuwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo ya mwaka 2024-2025 Waziri ameambatana na Naibu Waziri wake Mhe.Ali Abdulgulam Hussein pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara , Khamis Said na jopo […]

Read More
 UWEKEZAJI SEKTA YA ELIMU LAZIMA UMGUSE MWALIMU – DKT. BITEKO

UWEKEZAJI SEKTA YA ELIMU LAZIMA UMGUSE MWALIMU – DKT. BITEKO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati alipomwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya kuzindua […]

Read More
 PROFESA MKENDA AFUNGUKA” TAIFA LINAHITAJI WALIMU BORA NA MAHIRI

PROFESA MKENDA AFUNGUKA” TAIFA LINAHITAJI WALIMU BORA NA MAHIRI

Raisa Said,Korogwe Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Taifa linahitaji Walimu bora na mahiri katika kufundisha pamoja na uwezo wa kukaa na kuwalea vizuri watoto wa Kitanzania ili wafikie malengo yao na kusaidia nchi katika nyanja mbalimbali. Profesa Mkenda  aliyasema  hayo Jana wilayani Korogwe   Mkoani  Tanga wakati akifungua Mafunzo ya Kitaifa […]

Read More