BAJETI YA WAKULIMA YAPITISHWA KWA KISHINDO KIKUBWA

BAJETI YA WAKULIMA YAPITISHWA KWA KISHINDO KIKUBWA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha matumizi ya ya Shilingi trilioni 1.24 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo katika mwaka 2024/2025 kwa ajili ya utekelezaji wa mipango mbalimbali iliyoainishwa ili kuendelea kukuza Sekta ya Kilimo nchini. Kwa mujibu wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Wizara imeongeza kipaumbele kimoja na hivyo […]

Read More
 BASHE AKIWA KWENYE MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BAADA YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI

BASHE AKIWA KWENYE MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BAADA YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alipata nafasi ya kupita katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Bajeti ya Kilimo, jana Mei 02, 2024. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘FROM LAB TO FARM 2024’ yamelenga kuonesha jinsi ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta […]

Read More