RC CHALAMILA AWAALIKA WANANCHI DAR KUMUAGA HAYATI MWINYI UWANJA WA UHURU

RC CHALAMILA AWAALIKA WANANCHI DAR KUMUAGA HAYATI MWINYI UWANJA WA UHURU

RC Chalamila ametaja njia ambayo mwili wa Hayati utapitishwa ukitokea Mikocheni, utapelekwa Kinondoni Bakwata kwa ajili ya Dua ambayo itaongonzwa Shekh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber, ukiwa inaelekea uwanja wa Uhuru, utapita Kinondoni- Kigogo- Ilala Boma-Veta-DUCE hadi Uwanja wa Uhuru-Temeke Aidha RC Chalamila amesema kuanzia Saa 2:00 Asubuhi uwanja wa Uhuru uko wazi wananchi […]

Read More
 UTEUZI: KUJI AULA TANAPA, KIHAMIA APELEKWA DART

UTEUZI: KUJI AULA TANAPA, KIHAMIA APELEKWA DART

Taarifa kutoka katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wake Zuhura Yunus inaeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa […]

Read More
 TANZANIA NA INDIA SASA NI WASHIRIKA WA KIMKAKATI

TANZANIA NA INDIA SASA NI WASHIRIKA WA KIMKAKATI

India na Tanzania sasa zimebadili uhusiano wao kutoka wa kawaida kidiplomasia kuwa wa mkakati, taarifa ya Ikulu. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia ziara ya Kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini India ambapo leo imetangazwa rasmi kwenye mkutano wake na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi. Tofauti kati ya ushirikiano wa kidiplomasia na ule wa […]

Read More
 MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU, JINA LA BITEKO, SILAA MAVUNDE, PROF MBARAWA GUMZO

MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU, JINA LA BITEKO, SILAA MAVUNDE, PROF MBARAWA GUMZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu. Katika mabadiliko hayo, Mhe. Rais ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake kuunda wizara mpya mbili ambazo ni: Wizara ya Ujenzi na Wizara ya […]

Read More