SERIKALI KUTOA VIWANJA 21 KWA WAHANGA WA MAPOROMOKO ITEZI – DKT. TULIA
Serikali itatoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope katika mlima kawetere, Itezi Jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili maafa hayo yalipotokea hadi sasa. Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa kwa ajili ya wahanga, Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini […]
Read More