TARURA WAZIDI KUZIFUNGUA BARABARA ZA VIJIJINI, SASA NI ZAMU YA IYEGEYA- LULANDA
MUFINDI: Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea na ujenzi wa barabara ya Iyegeya- Lulanda yenye urefu wa Km 10.4 kwa kiwango cha lami kwa kutumia Teknolojia mbadala ya ECO Roads ikiwa ni utekelezaji wa malengo ya Serikali ya kupunguza gharama za ujenzi na matengenezo ya barabara na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati […]
Read More