WAZIRI KAIRUKI APOKEA MATOKEO YA SENSA YA WANYAMAPORI ARUSHA

WAZIRI KAIRUKI APOKEA MATOKEO YA SENSA YA WANYAMAPORI ARUSHA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Angellah Kairuki anaongoza hafla maalum ya kutangaza matokeo ya Sensa ya wanyamapori na kuzindua ripoti na taarifa ya watalii waliotembelea nchini Tanzania mwaka 2023. Wizara ya Maliasili na Utalii inasema lengo la kufanya Sensa hiyo ya wanyamapori ni kuhakikisha uhifadhi endelevu na kutoa takwimu sahihi juu ya uwepo, idadi […]

Read More
 KAIRUKI AMWAPISHA KIIZA, KAMISHNA MPYA NGORONGORO, AGUSIA ZOEZI LA KUWAHAMISHA WAMASAI NGORONGORO

KAIRUKI AMWAPISHA KIIZA, KAMISHNA MPYA NGORONGORO, AGUSIA ZOEZI LA KUWAHAMISHA WAMASAI NGORONGORO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais hivi karibuni. Akizungumza mara […]

Read More
 WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inaongeza makusanyo yake ya mapato ya ndani zaidi ya lengo iliyojiwekea la kukusanya shilingi bilioni 78.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo Septemba 20, 2023 katika kikao kati yake na Menejimenti ya […]

Read More