NAIBU WAZIRI MKUU AKAGUA MATENGENEZO YA MASHINE ZA KUFUA UMEME KIDATU
📌Ni kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi 📌Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara 📌Awataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi 📌Awatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi na kuchukua tahadhari Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya […]
Read More