KASI YA TARURA, BILIONI 5.7 KUUNGANISHA KIJIJI CHA KAPETA NA LANDANI KWA LAMI
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwira–Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5 pamoja na daraja lenye urefu wa mita 40 kwa gharama ya shilingi bilioni 5.7 Wilayani Ileje ili kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Songwe, […]
Read More