DC KASILDA MGENI AIPA HALMASHAURI YA SAME MWEZI MMOJA KUHAMISHA GULIO
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Halmashauri ya wilaya hiyo kuhamisha Gulio linalofanyika Jumatano hadi Jumapili eneo lililotengwa kwa ajili ya Viwanja vya Michezo Maarufu Kwasa-kwasa na kusababisha malalamiko kwa wanamichezo ambao wanashindwa kutumia eneo hilo. Ameeleza pia kutoridhishwa na hali ya Soko kuu la Mji wa Same […]
Read More