BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA UPOTOSHAJI TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA UPOTOSHAJI TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI.

Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Mhe Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Togolani ameandika, “Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, […]

Read More
 WANANCHI MIRERANI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUTOA FURSA KWA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWEKEZA KWENYE VITALU

WANANCHI MIRERANI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUTOA FURSA KWA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWEKEZA KWENYE VITALU

Wafanyakazi wa Kampuni ya wawekezaji wazawa Franone Mining and Games Campany LTD,inayochimba Madini ya Tanzanite eneo la Kitalu C,Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wamempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DKT.Samia Suluhu Hassan kwani wameweza kupata ajira tofauti na ilivyokuwa awali. Wakizungumza kwenye mgodi huo hivi karibuni walimshukuru mwekezaji huyo kwa […]

Read More
 SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuhakikisha panakuwepo na mwendelezo wa ujuzi na utaalam wanaopata wanafunzi wa fani ya jemolojia ambapo imepanga kuwapatia bure vifaa vya kuwawezeha kujiajiri na kuongeza thamani ya madini. Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Novemba, 2023 Jijini Arusha na Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde (Mb) alipotembelea Kituo cha Jemolojia […]

Read More
 SEKTA YA MADINI NGUZO MUHIMU YA MAENDELEO YA NCHI

SEKTA YA MADINI NGUZO MUHIMU YA MAENDELEO YA NCHI

#Mazingira Uwekezaji Sekta ya Madini, sasa njia nyeupe Imeelezwa kuwa, Sekta ya Madini ni nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 25, 2023 na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano […]

Read More
 SEKTA YA MADINI KUFUNGAMANISHWA NA MIPANGO YA TAIFA UWEKEZAJI

SEKTA YA MADINI KUFUNGAMANISHWA NA MIPANGO YA TAIFA UWEKEZAJI

#Mazingira ya Uwekezaji Sekta ya Madini kuboreshwa Imeelezwa kuwa, Wizara ya Madini imeweka Mipango ya kuhakikisha Sekta Madini inafungamanishwa na mipango ya taifa ili kuwa na Matumizi yenye tija katika rasilimali za nchi hususan katika Sekta ya Madini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 4, 2023 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde alipokutana na Waziri Ofisi ya […]

Read More
 MITAMBO 15 YA KUCHORONGA MIAMBA KUNUNULIWA, WAZIRI MAVUNDE

MITAMBO 15 YA KUCHORONGA MIAMBA KUNUNULIWA, WAZIRI MAVUNDE

•Oktoba 2023 mitambo mitano itatolewa mkoani Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa Madini. Hayo yamebainishwa leo Septemba 25 , 2023 na Waziri wa Madini ANTONY Mavunde wakati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania (TBC1) kutokea viwanja vya maonesho vya EPZ […]

Read More
 SERIKALI KUKAMILISHA TAFITI ZA MADINI NCHINI

SERIKALI KUKAMILISHA TAFITI ZA MADINI NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Madini ipo katika mpango wa kukamilisha utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia ndege kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST). Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akihutubia wananchi siku ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita. Akizungumza juu ya maendeleo […]

Read More
 BENKI YA MADINI MBIONI KUANZISHWA, STAMICO YAANZISHA MCHAKATO, WACHIMBAJI KUKOPESHEKA

BENKI YA MADINI MBIONI KUANZISHWA, STAMICO YAANZISHA MCHAKATO, WACHIMBAJI KUKOPESHEKA

Shirika la Madini la Taifa(Stamico) limeanza mchakato wa kuanzisha Benki ya Wachimbaji Madini Tanzania lengo likiwa ni  kutafuta njia mbadala inayoweza kutatua kabisa vikwazo vya kimitaji kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza leo Agosti 28,2023 wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico Dkt Venance Mwasse amesema  wachimbaji wadogo wanakosa […]

Read More