SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuhakikisha panakuwepo na mwendelezo wa ujuzi na utaalam wanaopata wanafunzi wa fani ya jemolojia ambapo imepanga kuwapatia bure vifaa vya kuwawezeha kujiajiri na kuongeza thamani ya madini. Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Novemba, 2023 Jijini Arusha na Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde (Mb) alipotembelea Kituo cha Jemolojia […]

Read More