GFA VEHICLE ASSEMBLER YASHINDA TUZO ZA RAIS KWA UUNGANISHAJI WA MAGARI NCHINI YA MWAKA 2024. 

GFA VEHICLE ASSEMBLER YASHINDA TUZO ZA RAIS KWA UUNGANISHAJI WA MAGARI NCHINI YA MWAKA 2024. 

Kiwanda cha kwanza cha kutengeneza na kuunganisha magari nchini Tanzania GF cha Vehicles Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani kimeibuka mshindi kwanza kwa makampuni ya Kati nchini wakati wa utoaji wa tuzo za Rais kwa wazalishaji bora (President’s Manufacturer of the year Awards – PMAYA) zilizofanyika jijini Dar es salaam Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa tuzo […]

Read More
 WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI – DKT. BITEKO

WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI – DKT. BITEKO

#Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta #Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na kijamii zifanyike kujenga uchumi wa nchi. Hayo yameelezwa leo Oktoba 27, 2023 na Dkt. Biteko alipotembelea gati […]

Read More
 BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA,  ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA, ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali imesikia kilio cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususan eneo la Mlima Kitonga lenye urefu wa kilometa 7.6  na inakwenda kutoa suluhisho, ambapo tayari wataalam wamewasilisha mapendekezo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yatafanyiwa kazi na Serikali. Eneo hilo la Mlima Kitonga ambalo limekuwa […]

Read More