KESI YA MKOPO EQUITY BANK WENYE UTATA WA MALIPO YAKWAMA
Dar es Salaam: Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeshindwa kuendelea na usikilizaji wa kesi ya mgogoro wa malipo ya mkopo dhidi ya Benki za Equity Bank Tanzania na Equity Bank Kenya, badala yake sasa imepangwa kuunguruma kwa siku nne mfululizo, kuanzia Septemba 2 mpaka 5, 2024. Kwa siku hizo zote shahidi wa pili wa upande […]
Read More