WALIOHAMIA MSOMERA WAKITOKEA NGORONGORO WAPATIWA MAGUNIA 1,058 YA MAHINDI
Serikali ya awamu ya sita imeendelea kutimiza ahadi ya kugawa chakula (mahindi) bure kwa wananchi waliohama kwa hiari kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera Mkoani Tanga Dhumuni la kugawa mahindi hayo kwa wananchi kila baada ya miezi mitatu (03) ni utekelezaji wa ahadi ya Serikali kutoa chakula bure kwa wananchi hao kwa muda […]
Read More