MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili kuwawezesha wanahabari kupata taarifa sahihi na kufanya kazi zao kwa ufanisi. “Viongozi na Watendaji wa Serikali na Mashirika zingatieni Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa ya Mwaka 2016 na ondoeni ukiritimba katika suala la upatikanaji wa habari […]

Read More
 TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA

TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili imetumia shilingi trilioni 1.29 kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia. Amesema kati ya fedha hizo shilingi bilioni 454.3 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule za elimu ya […]

Read More
 KINANA AMPIGIA KAMPENI RAIS SAMIA KIAINA “UTAMADUNI TULIONAO CCM, RAIS AKIWA AWAMU YA KWANZA TUNAPENDA AENDELEE AWAMU YA PILI”

KINANA AMPIGIA KAMPENI RAIS SAMIA KIAINA “UTAMADUNI TULIONAO CCM, RAIS AKIWA AWAMU YA KWANZA TUNAPENDA AENDELEE AWAMU YA PILI”

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Mhe. Abdulrahman Kinana ameendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye maeneo mbalimbali nchini na kufanikiwa kufika Wilaya Ruangwa mkoani Lindi. Akiwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano mkuu CCM Wilaya ya Ruangwa, Kinana ametoa salaam za Rais Samia kwa wakazi wa […]

Read More
 MAJALIWA AWAPIGIA CHAPUO MADEREVA WA MALORI

MAJALIWA AWAPIGIA CHAPUO MADEREVA WA MALORI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa malori nchini wawajali madereva na wahudumu wa magari hayo ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao. Amesema uanzishwaji wa kanzidata ya taarifa za madereva utawawezesha wamiliki hao kutumia taarifa hizo kwa lengo la kusimamia usalama wa madereva pamoja na kufuatilia mienendo na ufanisi wao. “Katika hili, niwasisitize kuhusu […]

Read More
 NUKUU ZA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOANZA ZIARA MKOANI SONGWE, ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA

NUKUU ZA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOANZA ZIARA MKOANI SONGWE, ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA

“Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuleta fedha kwa utaratibu ili majengo yakamilike. Jengo la magonjwa ya dharura , maabara na jengo jipya, haya majengo yanaendelea kujengwa na bado yataendelea kujengwa” “Nimeanza ziara Leo kwa kuja kuona Hospitali yetu ya rufaa mkoa wa Songwe ambayo imeendelea kujengwa na nimepita huko ndani imeanza kutumika lakini viwango […]

Read More
 CCM HAINA MASHAKA NA UTENDAJI KAZI WA WAZIRI MKUU-MAKONDA

CCM HAINA MASHAKA NA UTENDAJI KAZI WA WAZIRI MKUU-MAKONDA

Novemba 2, 2023 *Asema ni kiongozi mchapakazi na mtiifu, Chama kina matumaini makubwa. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema CCM haina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwani ni kiongozi mchapakazi na mtiifu. “…Katika utendaji wa kazi sisi upande wa Chama tuna matumaini […]

Read More
 MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI MKUU wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu amesema kuwa Shirika hilo limevutiwa na mradi wa kuwawezesha vijana unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa Jenga Kesho Iliyobora “Building Better Tomorrow” (BBT). “FAO tutaunga mkono mradi huu ili Serikali ya Tanzania iweze kutimiza malengo ya kuwainua vijana na […]

Read More