MAKAMBA APIGA KAMBI BUMBULI, KUONGEZA KASI YA UANDIKISHAJI

MAKAMBA APIGA KAMBI BUMBULI, KUONGEZA KASI YA UANDIKISHAJI

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba amewataka wakazi wa jimbo hilo kuendeleza kasi ya kujiandikisha ili kufikia au kupita lengo lilojiwekea la uandikishaji. Mbunge huyo ambaye amepiga kambi jimboni kwa ajili ya kuhamasisha uandikishaji amewapongeza wakazi wa jimbo hilo kwa kujitokeza kwa wingi na kuwezesha halmashauri ya Bumbuli kuwa miongoni mwa halmashauri zinazofanya vizuri […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AWASILI PARIS KUHUDHURIA MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

WAZIRI MAKAMBA AWASILI PARIS KUHUDHURIA MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amewasili jijini Paris, Ufaransa na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali Mwadini tarehe 12 Mei, 2024. Mhe. Makamba anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu Nishati Safi ya Kupikia barani Afrika utakaofanyika tarehe […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AKERWA NA FITINA NDANI YA CCM, ASEMA 2025 FOMU NI MOJA TU KWA RAIS SAMIA

WAZIRI MAKAMBA AKERWA NA FITINA NDANI YA CCM, ASEMA 2025 FOMU NI MOJA TU KWA RAIS SAMIA

Raisa Said,BumbuliWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Bumbuli  January Makamba Amesema    kwenye Chama Cha Mapinduzi CCM  kumekuwa na mambo ya kufitiniana hasa pale Rais aliyepo madarakani anapotakiwa kuendelea na muhula wa pili. Hayo ameyasema  kijijini kwao Mahezangulu Halmashauri ya  Bumbuli Mkoani Tanga  wakati wa Maulidi ya 40 inayofanyika […]

Read More
 MAKAMBA AGAWA MAJIKO 123 YA GESI KWA SHULE ZA BUMBULI

MAKAMBA AGAWA MAJIKO 123 YA GESI KWA SHULE ZA BUMBULI

Raisa Said,bumbuliMbunge wa Jimbo la bumbuli January Makamba ametoa msaada Wa majiko ya gesi 123  katika shule za Sekondari 24 na Msingi 99 zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Mkoani Tanga. Msaada huo umetolewa wakati Wa kikao Cha tathimi ya elimu  na wakati wakupongeza shule zilizofanya  vizuri Mwaka 2023  nazilizotoa wanafunzi  waliofanya vizuri katika […]

Read More
 MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Watanzania kutumia nishati mbadala kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Serikali imeunda kamati ya kitaifa kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala. Waziri Mkuu pia amewataka wajasiriamali kutumia rasilimali za ndani kuzalisha nishati mbadala. Amesifu jitihada za Wakala wa Umeme Vijijini (REA) katika […]

Read More