MAKONDA AZIFUATA BARAKA ZA ASKOFU DKT MALASUSA, AWEKEWA MKONO
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuliongoza kanisa hilo, kwa mara nyingine. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Jumamosi, Disemba 2, 2023, Askofu Mkuu Dkt. […]
Read More