WATANZANIA WAASWA KUTUMIA FURSA YA MSAADA WA KISHERIA KUTATUA MIGOGORO
Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
TEHAMA kutumika utoaji haki
Watoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kutumia fursa ya wasaidizi wa msaada wa kisheria ili kupata huduma za kisheria na kutatua migogoro inayowakabili katika maeneo [โฆ]