MRADI WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE KUONDOA TATIZO LA MGAO WA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema kuwa majaribio ya mtambo na. 9 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere wa Megawati 235 yamekamilika, na hivyo utatua changamoto ya mgao wa umeme nchini. Kapinga ameyasema hayo Februari 16, 2024, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Lupembe, Mhe. Edwin Sware aliyetaka kujua […]
Read More