WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewataka wavuvi kuchangamkia fursa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ya ugawaji wa boti na vizimba ili waweze kufanya shughuli zao kisasa na kuboresha maisha yao. Waziri Ulega ametoa rai hiyo alipofanya ziara katika Soko la Samaki la Kimataifa la Kilumba mkoani Mwanza, alipowatembelea wavuvi hao kwa lengo […]

Read More
 ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutoa elimu kuhusu program ya utoaji chanjo dhidi ya magonjwa ya wanyama ya kipaumbele ambayo inatarajiwa kuanza kwa lengo la kudhibiti magonjwa ya mifugo. Hayo yamesemwa leo (01.09.2023) na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Mhina baada ya kumalizika kwa semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo […]

Read More