DKT. BITEKO AMEIAGIZA WIZARA YA ARDHI KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA UFANISI
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Kituo cha Taifa cha ubunifu na mafunzo ya teknolojia ya taarifa za kijiografia na kuagiza kitumike kwa malengo yaliyokusudiwa na kuwa chachu katika sekta ya ardhi. “Itakuwa bahati mbaya sana watu wageuze kujifunza hapa kwa ajili ya kulipwa posho ya mafunzo, kiwe kituo ambacho […]
Read More