DK MPANGO AZINDUA UUZAJI WA HATIFUNGANI YA KIJANI TANGA UWASA
Raisa Said,Tanga Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Phillip Mpango amezindua uuzaji wa Hati fungani ya Kijani ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (Tanga UWASA) yenye thamani ya Sh Bilioni 53.12 kwa kusema kuwa kitendo cha mamlaka hiyo kutafuta uwezeshaji wa kifedha mbadala ni kitendo cha kuigwa na tassisi zote nchini. Dk Mpango […]
Read More