UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME JULIUS NYERERE (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78
*Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme* *Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 kwa sasa umefikia asilimia 94.78 huku mashine mbili za kuzalisha umeme zikiwa […]
Read More