NI MWENDO WA KUTIZAMA ANGANI, NDEGE MPYA AINA YA BOEING B737 – 9MAX KUTUA NCHINI
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema Tanzania inatarajia kupokea ujio wa ndege mpya ya abiria aina ya Boeing B737-9MAX pamoja na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 172S. Waziri Profesa Mbarawa amesema Hafla ya mapokezi na uzinduzi wa ndege hizo itafanyika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) […]
Read More