WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO

WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu na mchango wa utafiti wa kisayansi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na kisayansi zinazochangia kuchochea maendeleo ya nchi. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Mei 14, 2024 jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Makamu […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AWASILI PARIS KUHUDHURIA MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

WAZIRI MAKAMBA AWASILI PARIS KUHUDHURIA MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amewasili jijini Paris, Ufaransa na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali Mwadini tarehe 12 Mei, 2024. Mhe. Makamba anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu Nishati Safi ya Kupikia barani Afrika utakaofanyika tarehe […]

Read More
 “WEKEZENI KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA”, WAZIRI JAFO AWAAMBIA WADAU WA MAZINGIRA

“WEKEZENI KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA”, WAZIRI JAFO AWAAMBIA WADAU WA MAZINGIRA

Serikali imetoa wito kwa mashirika na wadau mbalimbali wa mazingira kuwekeza katika nishati safi ya kupikia ili kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo kwa wananchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito huo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la UpEnergy Tanzania Bi. Rehema […]

Read More
 “TUVILINDE VYANZO VYA MAJI KWA WIVU MKUBWA” DKT BITEKO AFUNGUKA, AWAPA JUKUMU TANESCO, AKEMEA UKATAJI WA MITI

“TUVILINDE VYANZO VYA MAJI KWA WIVU MKUBWA” DKT BITEKO AFUNGUKA, AWAPA JUKUMU TANESCO, AKEMEA UKATAJI WA MITI

Naibu Waziri mkuu na Waziri wa Nishati nchini Dkt. Dotto Mashaka Biteko, amewataka watanzania kuwa walinzi wa dhidi ya uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji na kukemea vitendo vya ukataji hovyo wa miti na aina zote za uharibifu wa mazingira huku akiwaagiza TANESCO kuwa mstari wa mbele katika mapambano ya utunzaji wa mazingira na […]

Read More
 WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

📌Ushirikiano kujikita katika Sera, Sheria, Utafiti na Utaalam 📌Uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia Sasa kufika Zanzibar 📌Kushirikiana kuimarisha upatikanaji umeme Zanzibar Wizara ya Nishati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo zimesaini hati ya makubaliano itakayopelekea kuimarisha zaidi ushirikiano katika maeneo […]

Read More