DKT MPANGO AYAGEUKIA MABENKI, “NATAKA UNAFUU KATIKA MIKOPO”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Taasisi za fedha nchini kuweka masharti ya mikopo ya upendeleo kwa Viwanda vidogo na vya kati ili kukuza uzalishaji na kuimarisha sekta hiyo. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa kilele cha Maonesho ya Nne ya Kitaifa ya […]
Read More