BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA UPOTOSHAJI TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA UPOTOSHAJI TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI.

Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Mhe Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Togolani ameandika, “Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, […]

Read More
 RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO

RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO

📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu 📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi wa Sekta binafsi nchini na hataki kuona wafanyabiashara wanapata misukosuko wakati wa utekelezaji wa majukumu yao. Amesema maono ya Rais […]

Read More
 UTEUZI: KUJI AULA TANAPA, KIHAMIA APELEKWA DART

UTEUZI: KUJI AULA TANAPA, KIHAMIA APELEKWA DART

Taarifa kutoka katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wake Zuhura Yunus inaeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa […]

Read More
 RAIS SAMIA KUZINDUA PROGRAMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WANAWAKE AFRIKA

RAIS SAMIA KUZINDUA PROGRAMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WANAWAKE AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) Jumamosi, Desemba 2, 2023 Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Marais wa nchi mbalimbali na viongozi wa ngazi za juu za serikali na mashirika ya kimataifa wamealikwa kuhudhuria uzinduzi […]

Read More