KINANA AMPIGIA KAMPENI RAIS SAMIA KIAINA “UTAMADUNI TULIONAO CCM, RAIS AKIWA AWAMU YA KWANZA TUNAPENDA AENDELEE AWAMU YA PILI”
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Mhe. Abdulrahman Kinana ameendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye maeneo mbalimbali nchini na kufanikiwa kufika Wilaya Ruangwa mkoani Lindi. Akiwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano mkuu CCM Wilaya ya Ruangwa, Kinana ametoa salaam za Rais Samia kwa wakazi wa […]
Read More