PROFESA MKENDA AFUNGUKA” TAIFA LINAHITAJI WALIMU BORA NA MAHIRI

PROFESA MKENDA AFUNGUKA” TAIFA LINAHITAJI WALIMU BORA NA MAHIRI

Raisa Said,Korogwe Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Taifa linahitaji Walimu bora na mahiri katika kufundisha pamoja na uwezo wa kukaa na kuwalea vizuri watoto wa Kitanzania ili wafikie malengo yao na kusaidia nchi katika nyanja mbalimbali. Profesa Mkenda  aliyasema  hayo Jana wilayani Korogwe   Mkoani  Tanga wakati akifungua Mafunzo ya Kitaifa […]

Read More
 BUKOMBE YASIMAMA KWA MUDA, DKT AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA BITEKO AWAHUTUBIA WANANCH

BUKOMBE YASIMAMA KWA MUDA, DKT AMMWAGIA SIFA RAIS SAMIA BITEKO AWAHUTUBIA WANANCH

đź“Ś *Shule mpya 30 za msingi zajengwa* đź“Ś *Kila Kata wilayani Bukombe sasa ina Shule ya Sekondari* đź“Ś *Barabara mpya zajengwa, mtandao wafikia kilometa 1400* đź“Ś *Bukombe sasa ina hospitali mbili, vituo vya afya sita, zahanati 18* đź“Ś *Apokea Wanachama wapya wa CCM, watokea CHADEMA* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge […]

Read More
 “WAMBIENI UKWELI VIONGOZI ILI KUWASAIDIA BADALA YA KUWAPAMBA NA KUWASIFIA” PROF. KITILA MKUMBO

WAMBIENI UKWELI VIONGOZI ILI KUWASAIDIA BADALA YA KUWAPAMBA NA KUWASIFIA” PROF. KITILA MKUMBO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amewataka vijana kuacha kuwa ‘Machawa’ wa watu binafsi na kuwapamba badala ya kuwaambia ukweli. Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa Vijana wa Tawi la Shule ya Sheria Prof. Kitila amesema vijana wanapaswa kuwa ‘Chawa’ /wafuasi wa […]

Read More
 MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI MKUU wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu amesema kuwa Shirika hilo limevutiwa na mradi wa kuwawezesha vijana unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa Jenga Kesho Iliyobora “Building Better Tomorrow” (BBT). “FAO tutaunga mkono mradi huu ili Serikali ya Tanzania iweze kutimiza malengo ya kuwainua vijana na […]

Read More
 DKT BITEKO AHAIDI KUTATUA CHANGAMOYO YA UMEME KWA HARAKA, RAIS MSTAAFU KIKWETE AMPONGEZA

DKT BITEKO AHAIDI KUTATUA CHANGAMOYO YA UMEME KWA HARAKA, RAIS MSTAAFU KIKWETE AMPONGEZA

#Chalinze imetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020- 2025 kwa mafanikio CHALINZE: Serikali imeahidi kushughulikia changamoto ya umeme iliyopo nchini kwa kasi kubwa ili tatizo hilo liweze kuisha katika kipindi kifupi kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Oktoba 11, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika Mkutano Mkuu Maalum wa […]

Read More