RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIOO MKURANGA – PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Leo September 20 amezindua Kiwanda Cha Kutengeneza Vioo Cha Sapphire Glass Ltd kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani. Kiwanda hicho Cha kwanza Afrika mashariki na kati na Cha nne Afrika ambapo kina uwezo wa kuzalisha Tani 700 za Vioo kwa Siku. Ujenzi wa Kiwanda umegharimu Zaidi ya […]
Read More