BENKI YA MADINI MBIONI KUANZISHWA, STAMICO YAANZISHA MCHAKATO, WACHIMBAJI KUKOPESHEKA
Shirika la Madini la Taifa(Stamico) limeanza mchakato wa kuanzisha Benki ya Wachimbaji Madini Tanzania lengo likiwa ni kutafuta njia mbadala inayoweza kutatua kabisa vikwazo vya kimitaji kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza leo Agosti 28,2023 wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico Dkt Venance Mwasse amesema wachimbaji wadogo wanakosa […]
Read More