MAHAKAMA YABATILISHA HUKUMU , YAAMURU KESI YA STATE OIL NA EQUITY BANK IANZE UPYA
Dar es Salaam: Mahakama ya Rufani imeamuru kesi ya mgogoro wa malipo ya mkopo wa Dola za Marekani 18.64 milioni (zidia ya Sh47 bilioni) baina ya kampuni ya State Oil Tanzania dhidi ya Equity Bank Tanzania Limited (EBT) na Equity Bank Kenya Limited (EBK) ianze upya kusikilizwa. Mahakama hiyo imeamuru kesi hiyo ianze upya baada […]
Read More