DKT. MPANGO ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUSAIDIA KUMALIZA MIGOGORO YA NDOA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kuwasaidia waamini kumaliza migogoro ya ndoa na mirathi kwa amani pasipo kuathiri watoto. Makamu wa Rais amesema hayo aliposhiriki Ibada ya Kuwekwa Wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Nne wa Dayosisi ya Mpwawa Kanisa la […]
Read More