RAIS SAMIA AFUNGUKA BARABARA YA MTWARA- MNIVATA YENYE UREFU WA KM50, WANANCHI WACHEKELEA
Barabara ya Mtwara – Mnivata yenye urefu wa km 50, ni sehemu ya barabara ya kusini itokayo Mtwara – Newala hadi Masasi kupitia Wilaya za Tandahimba na Newala yenye urefu wa km 210. Barabara hiyo inatajwa kupitia maeneo ya kimkakati katika mtandao wa barabara ambako korosho hulimwa kwa wingi katika Wilaya za Tandahimba na Newala, […]
Read More