UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA
Ameyasema hayo Machi 25, 2024 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati Kamati ikipitisha vifungu vya Bajeti ya Fungu 98 ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 ambapo pamoja na mambo mengine amesema kuwa mkakati uliopo ni kuhakikisha madaraja yote yaliyokatika yanarejeshwa katika hali yake. “Nimshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu […]
Read More