VITA YA URAIS KATI YA LISSU NA MBOWE YAIPASUA CHADEMA

VITA YA URAIS KATI YA LISSU NA MBOWE YAIPASUA CHADEMA

Mei 3, 2024 Na Mwandishi WetuIringa Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya CHADEMA na kukipasua chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Chimbuko la mgogoro huo wa maslahi ni nani ateuliwe na CHADEMA kuwania urais mwaka 2025 kati ya Lissu […]

Read More
 UMAHIRI NA UBUNIFU WA RC MAKONDA WAVUTIA WAKUU WA MIKOA.

UMAHIRI NA UBUNIFU WA RC MAKONDA WAVUTIA WAKUU WA MIKOA.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amekutana na kuzungumza na Wakuu wa Mikoa ya Mwanza Mhe. Said Mtanda na Mhe. Nurdin Babu na kujadiliana nao mambo Mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Mikoa yao. Viongozi hao waliofika mkoani Arusha kwa shughuli mbalimbali, wamesifu Maandalizi makubwa yaliyofanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yanayotarajiwa kufanyika […]

Read More
 WAZIRI KAIRUKI APOKEA MATOKEO YA SENSA YA WANYAMAPORI ARUSHA

WAZIRI KAIRUKI APOKEA MATOKEO YA SENSA YA WANYAMAPORI ARUSHA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Angellah Kairuki anaongoza hafla maalum ya kutangaza matokeo ya Sensa ya wanyamapori na kuzindua ripoti na taarifa ya watalii waliotembelea nchini Tanzania mwaka 2023. Wizara ya Maliasili na Utalii inasema lengo la kufanya Sensa hiyo ya wanyamapori ni kuhakikisha uhifadhi endelevu na kutoa takwimu sahihi juu ya uwepo, idadi […]

Read More
 KINANA ASHAURI WATUMISHI, WATAALAMU SERIKALINI WASITOE AHADI BILA MIPANGO.

KINANA ASHAURI WATUMISHI, WATAALAMU SERIKALINI WASITOE AHADI BILA MIPANGO.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua hazitatekelezeka au utekelezaji wake utachukua muda mrefu kukamilika kwani imekuwa ikikwamisha shughuli za maendeleo na kusababisha malalamiko kwa wananchi. Kinana meeleza hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Bunda Mjini wilayani Bunda mkoani […]

Read More
 DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

📌 Dkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli Chato 📌 Familia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru Rais Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa Takatifu ya kumwombea Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia […]

Read More