RC CHALAMILA ASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

RC CHALAMILA ASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumni Marathon ambayo imeandaliwa na Watumishi na Wanafunzi waliosoma katika chuo hicho cha Usimamizi wa fedha ambao kwa sasa wanafanya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini. Akiongea mara baada ya kukimbia umbali wa kilometa 5 Mhe. Chalamila amekipongeza chuo hicho kwa […]

Read More
 RC CHALAMILA MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEJITAMBUA NI CHACHU YA MAENDELEO KATIKA JAMII

RC CHALAMILA MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEJITAMBUA NI CHACHU YA MAENDELEO KATIKA JAMII

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 18, 2023 wakati wa Kongamano lililoandaliwa na Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) katika Ukumbi wa Hotel ya Hyatt Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila akiwa katika Kongamano hilo alipata wasaa wa kujionea bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na Wanawake wajasiriamali wa kitanzania […]

Read More
 SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuhakikisha panakuwepo na mwendelezo wa ujuzi na utaalam wanaopata wanafunzi wa fani ya jemolojia ambapo imepanga kuwapatia bure vifaa vya kuwawezeha kujiajiri na kuongeza thamani ya madini. Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Novemba, 2023 Jijini Arusha na Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde (Mb) alipotembelea Kituo cha Jemolojia […]

Read More
 WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

📌Ushirikiano kujikita katika Sera, Sheria, Utafiti na Utaalam 📌Uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia Sasa kufika Zanzibar 📌Kushirikiana kuimarisha upatikanaji umeme Zanzibar Wizara ya Nishati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo zimesaini hati ya makubaliano itakayopelekea kuimarisha zaidi ushirikiano katika maeneo […]

Read More
 MAKONDA AGEUKA MBOGO MULEBA” HAPA KUNA HARUFU YA RUSHWA, TAKUKURU LAZIMA WAFIKE HAPA

MAKONDA AGEUKA MBOGO MULEBA” HAPA KUNA HARUFU YA RUSHWA, TAKUKURU LAZIMA WAFIKE HAPA

Wakazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamepokea matumaini mapya kutoka kwa Katibu mkuu NEC , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Christian Makonda baada yakuwaahidi changamoto zinazowakabili sasa zimefika mwisho kwakua chama cha Mapinduzi kimerudi kwenye misingi yake. Makonda wakati akihutubia wakazi wa eneo hilo leo November 10 ,2023 akiwa njiani kuelekea Chato amesema amipita […]

Read More
 MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU

MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU

*Asisitiza kazi ya uthamini si ya wababaishaji au vishoka WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wathamini wote wawe waadilifu, wenye weledi na wazingatie miiko ya taaluma katika kazi zao za kila siku. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa wathamini ni watu muhimu katika kufanikisha mipango ya maendeleo ya Taifa. “Mnapaswa kuwa waadilifu na kuzingatia thamani halisi ya ardhi, […]

Read More
 CCM HAINA MASHAKA NA UTENDAJI KAZI WA WAZIRI MKUU-MAKONDA

CCM HAINA MASHAKA NA UTENDAJI KAZI WA WAZIRI MKUU-MAKONDA

Novemba 2, 2023 *Asema ni kiongozi mchapakazi na mtiifu, Chama kina matumaini makubwa. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema CCM haina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwani ni kiongozi mchapakazi na mtiifu. “…Katika utendaji wa kazi sisi upande wa Chama tuna matumaini […]

Read More