WAKATI TANZANIA IKITAJWA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI, MANYARA YAONGOZA KWA UKEKETAJI

WAKATI TANZANIA IKITAJWA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI, MANYARA YAONGOZA KWA UKEKETAJI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa pili wa kutokomeza Ukeketaji ambao unatarajia kuwa na washiriki 900 kutoka Barani Afrika. Akizungumza na Waandishi wa Habari Oktoba 07, 2023 jijini Dar Es Salaam, Waziri Dkt. Gwajima amesema, Tanzania imechaguliwa kuwa nchi mwenyeji wa […]

Read More
 KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GGR CHAIFUNGUA TANZANIA KIMATAIFA, WACHIMBAJI WAMIMINIKA KUSAFISHA

KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GGR CHAIFUNGUA TANZANIA KIMATAIFA, WACHIMBAJI WAMIMINIKA KUSAFISHA

Imeelezwa kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa katika usafishaji wa dhahabu duniani. Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini Anthony Mavunde Septemba 25, 2023 Mkoani Geita baada ya kutembelea na kuzungumza na mwekezaji na wafanyakazi wa kiwanda cha kisasa cha […]

Read More
 WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inaongeza makusanyo yake ya mapato ya ndani zaidi ya lengo iliyojiwekea la kukusanya shilingi bilioni 78.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo Septemba 20, 2023 katika kikao kati yake na Menejimenti ya […]

Read More
 MAKAMU WA RAIS DK MPANGO ATAKA NGUVU YA PAMOJA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA MAJI DUNIANI

MAKAMU WA RAIS DK MPANGO ATAKA NGUVU YA PAMOJA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA MAJI DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni ya uwekezaji katika sekta ya maji barani Afrika. Makamu wa Rais amesema hayo alipomwakilisha Rais […]

Read More
 TANZANIA, ZAMBIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KUIFUFUA RELI YA TAZARA

TANZANIA, ZAMBIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KUIFUFUA RELI YA TAZARA

Na Mwandishi Wetu DODOMA. Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli unaimarishwa kwa kutenga fedha kila mwaka ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya ndani na nje ya Tanzania inayosafirishwa kupitia […]

Read More