ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutoa elimu kuhusu program ya utoaji chanjo dhidi ya magonjwa ya wanyama ya kipaumbele ambayo inatarajiwa kuanza kwa lengo la kudhibiti magonjwa ya mifugo. Hayo yamesemwa leo (01.09.2023) na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Mhina baada ya kumalizika kwa semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo […]

Read More
 MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie nafasi hiyo kutugawa kiitikadi, kidini au kisiasa. Sisi ni wamoja na jambo letu ni moja. Serikali […]

Read More
 RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Jaji Mstaafu Mbarouk ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kipindi cha pili. Balozi Omar Ramadhan […]

Read More
 SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili kuhifadhi mazingira.  Amesema hayo leo Juni 06, 2023 wakati wa kikao na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora Dkt. Rashid Chuachua pamoja na ujumbe wake waliomtembelea kwa Kuwasilisha taarifa ya kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu […]

Read More
 DAKTARI WA UPASUAJI WA MOYO KUTOKA ZAMBIA APATA MAFUNZO JKCI, KUIMARISHA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MOYO

DAKTARI WA UPASUAJI WA MOYO KUTOKA ZAMBIA APATA MAFUNZO JKCI, KUIMARISHA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MOYO

Daktari wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Taifa ya Moyo ya Zambia amewasili katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) nchini Tanzania kwa mafunzo ya kuongeza ujuzi wake. JKCI inajiandaa kuanza kutoa huduma za upasuaji wa moyo hivi karibuni na imeweka mkakati wa utekelezaji. Daktari huyo amekuja kujifunza jinsi ya kuanzisha huduma ya upasuaji […]

Read More