RAIS DK SAMIA KUWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA LINDI
KUTOKA LINDI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan leo mchana anatarajia kuweka jiwe la Msingi Hospitali ya Rufaa Lindi (MITWERO), ambayo kwa hadhi yake inafanana kabisa na Hospitali zingine kubwa Kama hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Aidha wananchi wa Mkoani hapa wamefurahishwa sana na jitihada hizo za […]
Read More